So after 1 month unakua umetupa 1.8 Mil USD?? Equivalent to 3 bil feza za nyerere.kama zetu tu matumizi ya kawaida,itategemea utaitumiaje.
Duniani kuna ujinga mwingi sana. Kuna mapicha ya kale yanauzwa mamilioni ya dolla.mi mwenyewe nahisi inaeza kuwa hivyo