Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
- Thread starter
- #101
ZimefikaOkay...wasalimie Moro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZimefikaOkay...wasalimie Moro
Yani hapo mbuzi,kreti za soda na ng'ombe ni kama zawadi Kwa WA shindi kulingana na ukubwa WA mashindanoMkuu hapo kwenye soda na nyama walikuwa wana roga ili msile?
Kwanini watu wa mikoani wachawi sana, Yani mtoto akilelewa mkoani ladhima ajue uchawi, tofauti na mtoto aliyezaliwa mjini mfano Dar.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
MwongoWachawi hua hawavai kaniki hua wanakua uchi mwili mzima hii story ni chai
Wamekufanya nn mkuu😂Wachawi sio watu wachawi hawana imani wachawi wanaroho ngumu roho mbaya wachawi awapendi maendeleo nawachukia wachawi mpaka kesho kiama
Bila picha zitabaki kuwa ni porojo za wajinga ndiyo waliwao.MAMA MCHAWI
****************
Habari za leo wapendwa....
Nina kisa kimoja kimetokea juzi tarehe 11,😢😢😢😢😢😢
Iko hivi kuna rafiki yangu mmoja alipata mchumba,baada ya kuridhiana wakaanza maisha,kijana alienda kumtambulisha binti kwao ila binti hakuwahi kumtambulisha kijana kwao,basi wameishi kwa pamoja muda wa mwaka mmoja na miezi2 baadae binti ambaye ni rafiki yangu akaamua kwenda kumtambulisha mchumbaake kwao.
Basi shoga zangu,akatuandaa sisi marafiki tumsindikize na kijana nae akaandaa marafiki zake watakaomsindikiza..kwao binti.... Basi bana si tukajiandaa vizuri siku ya tarehe10 ndo tulienda kwao rafiki yangu. Namshukuru Mungu tulikaribishwa vizuri kwa ukarimu na ucheshi sana. Tulifurahia kuwafahamu wazazi wake rafiki yangu basi taratibu nyingine zikaendelea
Usiku ulipowadia tukaingia kupumzika mahali tulipoandaliwa wageni,basi sie tukalala
Wapendwa usiku huo kumbe mama mkwe ni mchawi katoka zake kwenda kuwanga,na huo mji aloenda kuwawangia kumbe haungiliki ovyo.....mama wa watu kaganda hadi asubuhi saa12.
Sisi tumelala mara ghafla kelele huko nje zikaanza huyo mchawii umezoea leo umeshindwa mmh,
Hizo kelele za kijijin ikabidi nasi tuamke na kwenda kushuhudia.
Vile tumetoka wageni wote nje. Tulipigwa na butwaa sana baada ya kumkuta mamaake rafiki yangu ndo anayepigwa na kavaa zake kaniki na vibuyu mkononi na mijitu kashikilia mkononi😢😢😢😢
Jamani omba isikukute 😭😭😭mama mkwe mbele ya mkwewe amevaa kaniki,binti alilia akisema mama laiti ningejua leo hii ningekuzuia usiende kuwanga binti wa watu akazirai mkwe kaamua kuondoka, na kamuacha binti kabisa hamtaki tena..binti alivyoamka nae kaondoka nyumbani ikabidi nasi turudi zetu nyumbani.
JAMAN WAMAMA WAMAMA MNAOWANGA JAMAN 😭😭😭😭Naumia sana najaribu kuvaa kiatu cha yule dada kinanibana jaman Inaumiza sana
Acheni kuwanga jaman wenye tabia kama hizi.
Huko Canada si ni muda wa kulala mpenzi?Bila picha zitabaki kuwa ni porojo za wajinga ndiyo waliwao.
Nipo Ghaza.Huko Canada si ni muda wa kulala mpenzi?
Sitaki matusi yako
Ok, nashukuru umenijibu vzr...maana ndio naelekea sala ya asubNipo Ghaza.
Ulitegemea kula Moja zitoOk, nashukuru umenijibu vzr...maana ndio naelekea sala ya asub
Ana mambo ya ovyo huyo mama sometimesUlitegemea kula Moja zito