Wenye tabia za kichawi, acheni kuwanga

Mkuu hapo kwenye soda na nyama walikuwa wana roga ili msile?
Kwanini watu wa mikoani wachawi sana, Yani mtoto akilelewa mkoani ladhima ajue uchawi, tofauti na mtoto aliyezaliwa mjini mfano Dar.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Yani hapo mbuzi,kreti za soda na ng'ombe ni kama zawadi Kwa WA shindi kulingana na ukubwa WA mashindano

Sasa wao ndo walikuwa wanafanya Hila Ili tusichukue hata kimoja.Fikiria vitu vidogo kama hivyo vinawatoa roho mpaka wanafanya mambo ya ajabu na Bado wadogo kabisa kiumri, umri 16-18
 
Wachawi sio watu wachawi hawana imani wachawi wanaroho ngumu roho mbaya wachawi awapendi maendeleo nawachukia wachawi mpaka kesho kiama
 
Bila picha zitabaki kuwa ni porojo za wajinga ndiyo waliwao.
 
Huyo bimdashi nae kazingua. Aache kuwaroga nyinyi wageni akawaroge wenyeji wenzie!? Hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…