peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Jionee mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni nani huyo waziri?Jionee mwenyewe.
Ni waziri yupi na anadhulumiwa haki yake na nani?Tafsiri gani zaidi ya waziri kuona amedhulumiwa Haki yake.. Mbona iko wazi
Polisi hawana ubavu wa kuwakamata CCM .Tafsiri gani zaidi ya waziri kuona amedhulumiwa Haki yake.. Mbona iko wazi
KamaniNi waziri yupi na anadhulumiwa haki yake na nani?
Wako chama Gani hao?
wanaodhulumiana?
Ama sijaona vizuri, embu ngoja niirudie!😊😊😅😅😅Huyo wa pembeni kamchapa ngwala yule mwenye kitambi hadi akaangukia sufuria la ugali😜😜
Haya ndiyo madhara ya kuhonga pakubwa na kula padogo.
Ukifowadi klipu unaiyona hio, daah sijui ule moto alipona kweliHuyo wa pembeni kamchapa ngwala yule mwenye kitambi hadi akaangukia sufuria la ugali😜😜