Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sana kabisa bwashee..Lisu yuko kimya sana!
Ingawa Mimi Ni mpinzani wa Maridhiano anaylazimisha Mbowe, ila wewe hujawahi kuwa mwanachadema hata siku moja.Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar
Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga...
Wewe umeongeza Nini. Kutwa kuisema CHADEMA wakati CCM wanamsulubisha mpina bungeni.Dj na yule mlelewa ubelgiji hawawezi kuongeza chochote
Akiongea mnamponda akikaa kimya mnamsema, wewe huna tofauti na wachawi.Lisu yuko kimya sana!
Mkuu, umekunywa hata chai? Maana inatakiwa uchungu uanze na maisha yako, unapata uchungu kwa mtu amekaa mtwara, Kilimanjaro, Tarime, wakati wewe umekaa sebuleni kwa shemeji ukisubiri dada yako na shemeji yako watoke chumbani, na Kijijini umeacha mvua na mashamba makubwa ya kulima.Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar
Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga.
Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye akilamba asali. Mamluki wote watahama na kutuacha wenye uchungu na nchi hii
Tulia weye, hangaika na CCM yako kugawanya majimbo.Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar
Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga.
Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye akilamba asali. Mamluki wote watahama na kutuacha wenye uchungu na nchi hii
Huyo bwege ni uvccm hiyo username yake ni kejeli kwa Chadema, namfahamu vizuri kwa vile kanuni za JF haziruhusu kutajana majinaIngawa Mimi Ni mpinzani wa Maridhiano anaylazimisha Mbowe, ila wewe hujawahi kuwa mwanachadema hata siku moja. Wewe ndio mamluki wa CCM unayejifanya CHADEMA, ila kutwa kuiponda CHADEMA na viongozi wake. Mwanachama Bora anaonekana jinsi anavyokiheshimu chama. Sio wewe kila siku kukitukana chama na Viongozi wake JF.
Unataka wakuoe?Dj na yule mlelewa ubelgiji hawawezi kuongeza chochote
Mburula kaa kimya. Kuheshimu chama ndio kukaa kimya huko uozo unafabyika?Ingawa Mimi Ni mpinzani wa Maridhiano anaylazimisha Mbowe, ila wewe hujawahi kuwa mwanachadema hata siku moja. Wewe ndio mamluki wa CCM unayejifanya CHADEMA, ila kutwa kuiponda CHADEMA na viongozi wake. Mwanachama Bora anaonekana jinsi anavyokiheshimu chama. Sio wewe kila siku kukitukana chama na Viongozi wake JF.
Mpina ni JembeWewe umeongeza Nini. Kutwa kuisema CHADEMA wakati CCM wanamsulubisha mpina bungeni.
Nakubali, kila mtu ana interests zake specific, zikibadilika na mtu anabadilika....ataendelea kuwa consistent only if maslahi yake hayajaguswa....Wanasiasa wote ni wasanii tu. Usidanganywe kuwa kuna mwenye uchungu na nchi.