Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na hela za mawazo.Nataka kuagiza x3 au x6 wenye uzoefu na bmw nisaidieni kujua baadhi ya vitu especially upatikanaji wa spea
Acha kumtisha mwenzio bana, BMW sio Lamborghini au Ferrari.Ukiambiwa shockup moja milioni moja na nusu usitoe macho
Jamaa yuko njema, sio mlala hoiUsiwe na hela za mawazo.
Uzuri hiyo shock up unabadili miaka mingi sanaUkiambiwa shockup moja milioni moja na nusu usitoe macho
Kama ni hivyo wala asihofu BMW-ULTIMATE DRIVING MACHINE.Jamaa yuko njema, sio mlala hoi
Kitendo cha kufikiria tu BMW tyr umeshaerevuka ..security,driving excellence and confortability!Not cheap but cost effective...!Karibu snNataka kuagiza x3 au x6 wenye uzoefu na bmw nisaidieni kujua baadhi ya vitu especially upatikanaji wa spea
Nataka kuagiza x3 au x6 wenye uzoefu na bmw nisaidieni kujua baadhi ya vitu especially upatikanaji wa spea
Ni Gari nzuri na imara sana, shida ktk mazingira yetu haya ambayo gari za Mjapani zimetawala tatizo ni kupata spares iwe used ama mpya na pia bei zake zipo juu sana hizo ‘spares parts’ zake
Kingine ni mafundi na kupata ‘garage’ nzuri ambayo wana deal na ‘European cars ‘ na hasa brand ya BMW & Benz na kwa BMW wana dealer wao maeneo ya vingunguti wanaitwa ‘Noble ‘ ila jiandae kwa gharama za services zipo juu sana hapo na ‘check up’ yoyote kama gari inasumbua japokuwa unaweza kamata mafundi ambao walipita hizo ‘ garage’
Shida pia ya hizo gari, mafuta yakiwa sio mazuri ‘check engine’kukuwakia ni kawaida sana
Na pia hizo gari zinataka nidhamu kwa maana ya uendeshaji na utunzaji
Kila la kheri