Wenye uzoefu na BMW

Wenye uzoefu na BMW

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
Nataka kuagiza x3 au x6 wenye uzoefu na bmw nisaidieni kujua baadhi ya vitu especially upatikanaji wa spea
 
Spare zipo, ila X3 itakufaa zaidi kwa upande wa gharama za spare ukilinganisha na X6, karibu kwenye huu ulimwengu wa raha. Kumbuka hizi gari hubadirishi spare kila wakati, ukiweka umeweka.
 
Ukiambiwa shockup moja milioni moja na nusu usitoe macho
 
Nataka kuagiza x3 au x6 wenye uzoefu na bmw nisaidieni kujua baadhi ya vitu especially upatikanaji wa spea
Kitendo cha kufikiria tu BMW tyr umeshaerevuka ..security,driving excellence and confortability!Not cheap but cost effective...!Karibu sn
 
Nataka kuagiza x3 au x6 wenye uzoefu na bmw nisaidieni kujua baadhi ya vitu especially upatikanaji wa spea

Ni Gari nzuri na imara sana, shida ktk mazingira yetu haya ambayo gari za Mjapani zimetawala tatizo ni kupata spares iwe used ama mpya na pia bei zake zipo juu sana hizo ‘spares parts’ zake

Kingine ni mafundi na kupata ‘garage’ nzuri ambayo wana deal na ‘European cars ‘ na hasa brand ya BMW & Benz na kwa BMW wana dealer wao maeneo ya vingunguti wanaitwa ‘Noble ‘ ila jiandae kwa gharama za services zipo juu sana hapo na ‘check up’ yoyote kama gari inasumbua japokuwa unaweza kamata mafundi ambao walipita hizo ‘ garage’

Shida pia ya hizo gari, mafuta yakiwa sio mazuri ‘check engine’kukuwakia ni kawaida sana

Na pia hizo gari zinataka nidhamu kwa maana ya uendeshaji na utunzaji

Kila la kheri
 
Barikiwa bos
 
Nunua hizo ni luxury na comfotability car.
Mafundi na spare za uhakika za European Car nenda Kurasini Mivinjeni kuna Garage inaitwa Kindimu Auto Garage au Kindimu Mabenz.
 
Kila la heri chukua kati ya hizo. Kama utaweza kuzoom vizuri bei ya tairi ni 2800BD. Bahrain Dinar, kwa set.

Kisha angalia exchange rate ni kiasi gani. Usiigope mkuu.

Pia unaweza kujichagulia rangi individually as special order.
Mungu akubariki.
IMG_20181006_205433.jpeg
IMG_20181005_221823.jpeg
IMG_20181005_221530.jpeg
IMG_20181006_163137.jpeg
 
Back
Top Bottom