Hizo zote zinatatizo haswa kwenye unyevu, gundi zinazotumika kwenye wallpaper ya kawaida na ya prestiges (liquid wallpaper) ni za maji (water soluble)
Nakushauli tumia stencils. Ni bora zaidi.
Hizo ndiyo silk plaster siyo
Tunaziuza dukani ila hatushauri watu kutumia ukuta mzima hasa Eneo lenye heka heka Kwa sababu hazipendi unyevu wala kuguswa guswa
Hizi zinapendeza sehemu za tv hivi au juu kwenye Dari au chumbani hasa master bedroom
Hiyo Kg ina cover space ya ukubwa gani?Bag ya 1.5Kg
Bei ni 55,000
7-8sqm
Stencils ndo zipoje hizo mkuu, naomba ufafanuzi