Andres
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 502
- 815
Wakuu Habari za muda huu?
Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja.
Nilitaka kuweka glue wallpaper hizi kwenye kuta za nyumba yangu sebuleni na chumbani, lakini nikakutana na ushauri wa hii kitu inaitwa Liquid wallpaper, kwakuwa sikuwa naifahamu nikaisearch nikakuta kweli picha zipo, na kuna watu wanafanya hizo kazi especially instagram huko.
Sasa nahitaji mwenye uzoefu nazo anisaidie hapa, muonekano wake, uimara wake, na most of all gharama zake zipoje ?
Nimalize kwa kuwasalimia, kwa Jina La Jamhuri ya Tanzania.