Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,493
- 5,591
Habari wakuu , naomba ulizia kwa wenye experince ya waliowahi panda lori kwenda dodoma kwa ajili ya interview aje hapa atusaidie trip ilikuwaje, maana hali si hali wakuu dodoma moja...
Au kwa anaejua yanakopatikana ma lori yanayoelekea mikoani kutoka dsm wakuu
Kwa maana. Kiuchumi tunaTOFAUTIANA WAKUU , WENGINE BADO HATUJAJIPATA NI BORA KUTUMIA MIA MBOVU KULIKO KULIPIA 40+K NAULI WAKUU