Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hizo gari ni hatariNjoo nikupe lift kwenye gari ya magazeti upate offer ya kumuona Izraeli mtoa roho upige nae selfie ukaonyeshe mwisho wa safari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo gari ni hatariNjoo nikupe lift kwenye gari ya magazeti upate offer ya kumuona Izraeli mtoa roho upige nae selfie ukaonyeshe mwisho wa safari.
Kwani lory haliwezi kuwa IT kama litatoka bandariniYeye Anahitaji lory sio IT
Howo zina shida gan mkuuNenda stand ya magufuli kuna machalii ndo zao kutafutia watu semi it coaster, ila usipande semi ya howo utajutaa
Za
Magazeti huwaga ni maeneo yapi kiongosi ndo location zao mm nipo magomeni mkuu
10k itasumbua mkuu tafuta odds 5 upate nauli.Shida ni PESA WAKUU SHIDA NI PESA , HELA NI NDOGO , NITAFURAHI NIKIPATA. USAFIRI WA 10K MPAJA MKOA DESTINED THEN mengine yatatokea ikiwapo na kuwahi eneo husika
Kuna cost yoyote nita incur mkuu kama nauli au chakula !!!
Oya mkuu ilikuwaje[emoji3][emoji3]Dar to njombe aiseeeee
Sio poa mkuu...Oya mkuu ilikuwaje[emoji3][emoji3]
Shofa ndio jina lake?Ni kweli nilipanda howo nikalipa elfu kumi kwenda dom, kufika moro jamaa kaninunulia msosi na maji ya uhai, shofa alikuwa na story balaa safari ilikuwa fupi mno
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani lory haliwezi kuwa IT kama litatoka bandarini