Wenye vitambi kutaneni hapa

Wenye vitambi kutaneni hapa

Kitambi nnacho kwakweli ila nlishaanza mazoezi japo nafanya kivivu ila nimefurah nimepata sehemu najifunza na kujua jinsi ya kupunguza kitambi
Na pakujiliwaza pia usione unatengwa kwasababu unakitambi
 
Nimecheka sanaa,haya wacha nipitee hapanihusu mimi,madeni matatu kwa mpigo mchezo wala huhitaji gym.
 
Huyu kaanguka au ndio pozi la beach
 

Attachments

  • 1471184136333.jpg
    1471184136333.jpg
    38.4 KB · Views: 54
Mkuu huna sababu ya kutumia pesa wala kwenda gym.fanya zoezi la kutembea harakaharaka kwa nusu saa tu kwa siku 5 kwa wiki ndani ya wiki 4 halafu jipime kwa kamba au uzito utagundua umepingua km utahisi huwezi tafuta vidonge vinaitwa GELATIN

Mkuu nataka nianze kama ulivonishauri lakin vip na hiyo GELATIN inapatikana wapi na bei gani
 
Naogopa kitambi, sikipendi, najinyima sana kula.... Mazoezi ndo sijawahi kuyaweza
 
Njooni tuunde froup letu tupeane mawazo 0713522447
 
Njia rahisi ya kupunguza kitambi ni hiii
NUNUA GARI BOVU ALAFU KOPA BENKI baada ya wiki niambie
 
Naogopa kitambi, sikipendi, najinyima sana kula.... Mazoezi ndo sijawahi kuyaweza
Hata kutembea kwa kasi ni mazoezi sidhani kama unashindwa yatakusaidia sio tu kupunguza mafuta mwilini
 
Konyagi inakata mafuta.Ni kweli ama?
Konyagi haina uhusiano wa moja kwa moja na kukonda ila maranyingi pombe kali ikikutana na mtu asie penda kula akisha kunywa madhara yake huamia kwenye fat ya mwili na hivyo kumfanya akonde lakini kama ukinywa ukaenda kutandika mdudu au wali wakutosha usitarajie kukonda utazidi kua na tumbo hasa lachini karibu na kiuno
 
Back
Top Bottom