Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni Victim nini?Huu uzi nimeupenda sana
Kitambi nnacho kwakweli ila nlishaanza mazoezi japo nafanya kivivu ila nimefurah nimepata sehemu najifunza na kujua jinsi ya kupunguza kitambiNa wewe ni Victim nini?
Sijafikia hatua ya kutengwa aisee ila nafanya juhudi nisifike huko mana ni hatariNa pakujiliwaza pia usione unatengwa kwasababu unakitambi
Kua na ndugu ama rafiki mwenye mwili kama huu alafu msifanye lolote kumsaidia inamaanisha hamumpendiHuyu kaanguka au ndio pozi la beach
Mkuu huna sababu ya kutumia pesa wala kwenda gym.fanya zoezi la kutembea harakaharaka kwa nusu saa tu kwa siku 5 kwa wiki ndani ya wiki 4 halafu jipime kwa kamba au uzito utagundua umepingua km utahisi huwezi tafuta vidonge vinaitwa GELATIN
Mkuu nataka nianze kama ulivonishauri lakin vip na hiyo GELATIN inapatikana wapi na bei gani
Konyagi haina uhusiano wa moja kwa moja na kukonda ila maranyingi pombe kali ikikutana na mtu asie penda kula akisha kunywa madhara yake huamia kwenye fat ya mwili na hivyo kumfanya akonde lakini kama ukinywa ukaenda kutandika mdudu au wali wakutosha usitarajie kukonda utazidi kua na tumbo hasa lachini karibu na kiunoKonyagi inakata mafuta.Ni kweli ama?
Vyote viwili,kuna changamoto za maisha ngumu sana kuzisolve mwenyewe inahitaji msukumo na usaidizi wa watu wako wa karibuHatumpendi au hajipendi