Wenye vitumbo pitieni makavu yenu

Wenye vitumbo pitieni makavu yenu

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Unakuta mdada mzuri wa sura anavutia usoni ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia.

Wengine hata hawajazaa bado lakini tumbo lishaanza kuvutwa na gravitational force, hivi hizi bia za bure na nyama choma kila uchwao zinakusaidia nini?

Hili suala lishakuwa janga la taifa, tatizo hamchagui cha kutia mdomoni mpaka supu ya kongoro mmo, supu ya ulimi nayo mmo supu ya mkia nao mmo supu ya kichwa hamuachi yaani kitimoto ndo mnakeshea.

Utaona dada kitumbo hicho ukiuliza ana mimba unaambiwa hapana ndivyo alivyo hivyo mwaka wa 3 huu.

Kufanya mazoezi hamtaki, nyie ni kula kulala, chips mayai na kuku wa kichina basi siku imepita, kwenye sita kwa sita mkienda round moja mko hoi hamtaki kuendelea.

Hapana inabidi mbadilike

IMG_20210115_161320.jpg
 
matumbo ya wamama wew yanakuzuia nn?? acha watu waishi maisha yao[emoji23]
 
Kuna wenye vitambi, kuna wasionavyo. Wew angalia anaekufaa. Wengine tunapenda wenye vitambi... Kwa hiyo fanya mambo yako acha umbea
Wewe kitambi unakipendea nini
 
Unakuta mdada mzuri wa sura anavutia usoni ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia.

Wengine hata hawajazaa bado lakini tumbo lishaanza kuvutwa na gravitational force, hivi hizi bia za bure na nyama choma kila uchwao zinakusaidia nini?

Hili suala lishakuwa janga la taifa, tatizo hamchagui cha kutia mdomoni mpaka supu ya kongoro mmo, supu ya ulimi nayo mmo supu ya mkia nao mmo supu ya kichwa hamuachi yaani kitimoto ndo mnakeshea.

Utaona dada kitumbo hicho ukiuliza ana mimba unaambiwa hapana ndivyo alivyo hivyo mwaka wa 3 huu.

Kufanya mazoezi hamtaki, nyie ni kula kulala, chips mayai na kuku wa kichina basi siku imepita, kwenye sita kwa sita mkienda round moja mko hoi hamtaki kuendelea.

Hapana inabidi mbadilike

View attachment 1678139
Hahahahahah
 
Demu mwenye kitambi ukimuweka kifo cha mende kunako sita kwa sita na ukamkunja miguu yake kuelekea mabegani ukimtizama hapo kitandani waweza hisi unagegeda nguruwe
Hahahaha zambi zako siziwezi
 
Back
Top Bottom