Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Unakuta mdada mzuri wa sura anavutia usoni ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia.
Wengine hata hawajazaa bado lakini tumbo lishaanza kuvutwa na gravitational force, hivi hizi bia za bure na nyama choma kila uchwao zinakusaidia nini?
Hili suala lishakuwa janga la taifa, tatizo hamchagui cha kutia mdomoni mpaka supu ya kongoro mmo, supu ya ulimi nayo mmo supu ya mkia nao mmo supu ya kichwa hamuachi yaani kitimoto ndo mnakeshea.
Utaona dada kitumbo hicho ukiuliza ana mimba unaambiwa hapana ndivyo alivyo hivyo mwaka wa 3 huu.
Kufanya mazoezi hamtaki, nyie ni kula kulala, chips mayai na kuku wa kichina basi siku imepita, kwenye sita kwa sita mkienda round moja mko hoi hamtaki kuendelea.
Hapana inabidi mbadilike