Naunga mkono hojaView attachment 1083893
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule.
Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge tunauziwa piece tatu? Wenzenu walishaona umuhimu wa super size.
Kuna mitandio inatoka Karachi Pakistan, huwa na ukubwa wa kuridhisha, kama khanga zingekuwa size ile ingependeza.
Wekeni khanga za vipande vitatu, sisi mabonge tutanunua, soko la sasa hivi halikidhi mahitaji yetu.
Umefikiria nje ya box, kweli kuna shida, nimeishuhudia especially kwa wale waliojaaliwa neema za Allah.View attachment 1083893
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule.
Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge tunauziwa piece tatu? Wenzenu walishaona umuhimu wa super size.
Kuna mitandio inatoka Karachi Pakistan, huwa na ukubwa wa kuridhisha, kama khanga zingekuwa size ile ingependeza.
Wekeni khanga za vipande vitatu, sisi mabonge tutanunua, soko la sasa hivi halikidhi mahitaji yetu.
neema za upande gani hizooooo zitajeUmefikiria nje ya box, kweli kuna shida, nimeishuhudia especially kwa wale waliojaaliwa neema za Allah.
Wale akina mama waliojaaliwa makalioneema za upande gani hizooooo zitaje
mmmmm khumbe hayaWale akina mama waliojaaliwa makalio
Hizi khanga za Nida ni biashara tu, khanga imekuwa kama kitambaa cha kichwa.Tafuta khanga za Mombasa ni kubwa na zitakidhi mahitaji yako
Nilimnunulia wife na mama angu kwa kweli ni kubwa sana halafu hazina maandishi,so ata ukishona nguo zinawapendeza
wavaa nini sikuhizi bibieee?Mimi khanga sivai siku hizi
hata ukifunga kichwa kinaonekan tuuuHizi khanga za Nida ni biashara tu, khanga imekuwa kama kitambaa cha kichwa.
Unavaa nini?
wavaa nini sikuhizi bibieee?