Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Misambwanda, waambie na watengeneza vyupi pia maana kuna wakati ukipiga jicho la makini unaona kabisa kuwa pichu haijakaa kwenye kiuno imeshia katikati ya mlima tu. Ni balaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaona bado, mtu akai kwenyw boda. Mpaka bajaji unadhani utani?huyo atakuwa si mwanamke wa kawaida pisi tatu za khanga? sky acha utani
hiv hao wanakaaga stile gani kwenye mgegedoHata ukimpiga chabo unajisumbua coz ngumu kuona naniliu, naniliu ileee! Aaah! Papuchi ilipo
muongo tupia picha tumuone kama ni kweliKweli kabisa hapa jirani kuna jimama hilo bila kanga 2 uziunge kiuno haikai
muongo tupia picha tumuone kama ni kweli
Kumbe unamiliki dawa ya ugonjwa wangu! Dah sijui nitafanyaje nipate dawa.View attachment 1083893
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule.
Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge tunauziwa piece tatu? Wenzenu walishaona umuhimu wa super size.
Kuna mitandio inatoka Karachi Pakistan, huwa na ukubwa wa kuridhisha, kama khanga zingekuwa size ile ingependeza.
Wekeni khanga za vipande vitatu, sisi mabonge tutanunua, soko la sasa hivi halikidhi mahitaji yetu.
View attachment 1083893

Hivi kuna watu wanavaa kanga siku hizi ?maana naona wanawake siku hizi huvaa salawali na salawali kipande na zile soksi za kubana makalioView attachment 1083893
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule.
Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge tunauziwa piece tatu? Wenzenu walishaona umuhimu wa super size.
Kuna mitandio inatoka Karachi Pakistan, huwa na ukubwa wa kuridhisha, kama khanga zingekuwa size ile ingependeza.
Wekeni khanga za vipande vitatu, sisi mabonge tutanunua, soko la sasa hivi halikidhi mahitaji yetu.
Khanga ni nguo ya asili best, hata uwe Japan mwanamke wa ki Bongo hakosi khanga japo moja.
Ni kweli kabisaView attachment 1083893
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule.
Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge tunauziwa piece tatu? Wenzenu walishaona umuhimu wa super size.
Kuna mitandio inatoka Karachi Pakistan, huwa na ukubwa wa kuridhisha, kama khanga zingekuwa size ile ingependeza.
Wekeni khanga za vipande vitatu, sisi mabonge tutanunua, soko la sasa hivi halikidhi mahitaji yetu.
Hao unakula kwa style za kibabe, jifanye mstaarabu akukimbie tu.hiv hao wanakaaga stile gani kwenye mgegedo