Wenye viwanda vya khanga mfikirie kuongeza ukubwa wa khanga

Mimi nikadhani unataka waongeze uzito au thickness iww kama taulo
 
nenda kwenye maduka pale kitumbini kuna khanga wanaziuza 19,000/= zina ukubwa wa kutosha sana.
 
Hapa naunga mkono hoja ....jamani hata mie mwembamba kanga hainitoshi jamani Sijui wanafeli wapi
 
Sisiemu mmesikia mnapoelekea kuchapisha za uchaguzi wapiga kura wenu wamenenepa.
 
Mimi sidhani kama ni udogo wa khanga hapana wamepunguza ukubwa wa khanga.. khanga za zamani zilikuwa sawa kabisa
 
Duuh! Kumbe na wewe una chura mkubwa eeh! Hongera sana...
 
Punguza unene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…