Wenye VW Touareg naomba msaada wenu hapa

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
673
Reaction score
974
Habari wazee Nina Gri Touareg CC 3500, Juzi nilikuwa na safari ya kwenda arusha nimetumia mafuta wastani wa lita 150 kwa kwenda tu, naomba kujua ikiwa ni sawa kwa wenye Touareg au kuna shida mahali. NB: kama huna toaureg sihitaji ushauri wowote wala makelele Asante.
 

Hilo haliwezekani; Hakuna hizo liter kwenye hiyo safari labda Kama mafuta yamemwagika!

Na pia sikuelewi; Kwani Arusha tu ndo safari? Ukiwa mkoani Hujui Gari unaenda Km ngapi/liter?

Mh! Hii Ni chai bwana! Unatuongopea; au una malengo gani Kwa ujumla? Hiyo ina maana Gari unaenda Km???? Kwa ?????
 
Ulikuwa unaenda mwendo gani?
 
Halafu ni 3.2 au 3.6 petrol?
 
Utasemaje hivi bila kujua consumption ya hio gari na alikuwa anaendeshaje?
@RRONDO ndio maana nimemuwekea chart hapo chini....

Assume gari ni used so inakula 6km/l ina maana kwa mafuta ya lita 150l ameenda km 900 net kwa costant speed and ukanyagaji wa mafuta...


Ajabu.

Labda atueleze ametoka wapi kufikia arusha but ukiniambia aina ya uendeshaji nakataa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…