Wenye VW Touareg naomba msaada wenu hapa

Habari wazee Nina Gri Touareg CC 3500, Juzi nilikuwa na safari ya kwenda arusha nimetumia mafuta wastani wa lita 150 kwa kwenda tu, naomba kujua ikiwa ni sawa kwa wenye Touareg au kuna shida mahali. NB: kama huna toaureg sihitaji ushauri wowote wala makelele Asante.
bora umeweka angalizo kuwa huitaji MAKELELE
 
Prado za serikali na uendeshaji wao wa kujiachia huwa tunaweka lita 100 Dar to Arusha zinatoboa
 
LC 300 halafu mnazigongesha mizinga Serikali italipia gharama baada ya hapo hao mnaenda kupewa Gari mpya si ndio? Gari mkilichoka mkitaka Gari mpya mnalipigisha mzinga ili mpewe Gari mpya Serikali itanunua si ndio?
 
Malalamiko yako hayaendani na nilichoandika
 
Back
Top Bottom