Wenye VW Touareg naomba msaada wenu hapa

Hivi ushawahi kwenda mkoa ukawa unapiga ligi na mtu mkoa to mkoa? Ndio maana nimemuuliza alikuwa anaendeshaje. Mchawi ni aina ya uendeshaji tu.
 
Nimetoka Dar es salam mzee
 
safari ya Dar to Kigoma via Singida Tabora km 1400 spidi 120-140 vipande vingi Pajero 3000cc V6 ikiwa na watu wazima 5 na mzigo mzito nilitumia 180litres. same Car Dar to Arusha 500km nilitumia full tank lita 85. cheki MAF,badili Air Cleaner na plugs. Pia fanyia gari wheel alignment na wheel balance. naongea from experience
 
Aisee pole.. Hiyo scenario ni kuna changamoto kwenye mfumo gari..
Misfiring ambayo nahisi chanzo ni MAF..
Kama ilikuwa inatoa moshi mweusi.. Mafuta hayo umechoma..!

Kuna wakati nilitumia Lita 70..Dar to Morogoro..! Ishu ilikuwa ni hiyo MAF..!
 
Jibu lako lipo tekniko sana mkuu.

Bukoba to Kigoma via Dar es Salaam.
 
Dar to Arusha ni 630 km.
 
Aisee pole.. Hiyo scenario ni kuna changamoto kwenye mfumo gari..
Misfiring ambayo nahisi chanzo ni MAF..
Kama ilikuwa inatoa moshi mweusi.. Mafuta hayo umechoma..!

Kuna wakati nilitumia Lita 70..Dar to Morogoro..! Ishu ilikuwa ni hiyo MAF..!
Nimekupata mkuu
 

Safari yako ilianzia wapi kwenda Arusha?

Toureg yako ni Toleo lipi au ya mwaka gani?
 

Aiseee hizi Toureg umeweka hapa zote ni Diesel.

Pia hakuna Toureg ya Diesel ya Cc3500.

Zipo za petrol na zenyewe siyo Cc3500 ni Cc3600
 

Mtoa maada kama gari ni nzima na uendeshaji wako ni mzuri hayo mafuta lita 150 ikitakiwa utembee zaidi ya 1000Km...
 
Hizo gari hizo ni shida tupu. Kuliuza haliuziki, spaire part ni shida , mafundi hawalijui,ulaji wa mafuta ndio huo.
Kwa kifupi nikushauri kwa ujinga wangu, hilo gari lipaki mahali ukilitafutia mteja nunua brandvza Toyota utaokoa maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…