Wenye vyeti fake warudishwe kazini haraka kuliko hawa wanaomaliza Chuo sasa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huyu jamaa yangu natamani arudishwe kazini. Naona yeye bado wenzie wawili tayari. Serikali iwakumbuke hawa wenye vyeti fake wapewe ajira kwanza kuliko wale fresh from schools.

Hawa wenye vyeti fake mkumbuke wengi walishaanza kuwa na family. Please please wote warudishwe kazini.
 
Vyeti feki nchi ilishamalizana nao
 
So kigezo ni kuwa na familia...?? Hii nchi ngumu hii!
 
ukienda hospitali ukamkuta daktari/mhudumu wa afya mwenye cheti feki utakubali akuhudumie?
 
Ni double standard ndio. Hata serikali inajua hilo ila imeshafanya.
Sasa tusiseme Tanzania hapana vyeti feki. Vipo jeshini na hata huko serikalini bado vipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…