No, naweza kuwa na kidosho lakini tukakubaliana kuachiana space, wengine hawawezi kwa sababu ya wivu na kulinda mabebez wao.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kaka sizungumzii kwa ubaya hata kidogo!
Shida inakuwa miye sijui kama Ely una kidosho humu sasa nikikutania basi bibie anamind balaa!
Avumilie tu ndo ilivyo sasa!
Nikweli mkuu, ndiomaana naona kama shuzi limepata mjambaji.... tehteehhhYa kwako hayo kaka!!sio kila ukionacho kipo kama kilivyo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi haijawahi nikuta hyo labda ipo ila sasa sijui maana huwaga sifatiliagi hvyo vitu vidogo vidogo miye kama wapo wanaonichunia wanajiumiza tu!No, naweza kuwa na kidosho lakini tukakubaliana kuachiana space, wengine hawawezi kwa sababu ya wivu na kulinda mabebez wao.
Ukiona hivyo si unawaacha tu. Rayna ukitaka kuchat si uje kwangu tu,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
Unaniringia sana, poa tu![emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi haijawahi nikuta hyo labda ipo ila sasa sijui maana huwaga sifatiliagi hvyo vitu vidogo vidogo miye kama wapo wanaonichunia wanajiumiza tu!
Wanaume zao siwataki na wala hawajawahi kunitaka wawe na amani tu masikini yarrabbi!
Kuhusu kuchat na wewe [emoji3] [emoji3] thtaki miye
Nani akuchunie[emoji3] hapana naogopa kuchuniwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ni kidonda ukishiri utakondaa![emoji3] [emoji3]
Sasa kama kuna secret lovers na hawajitokezi mi nifanyeje? Siku hizi ukizimika unauwasha tu, usisubiri...hem do the needful Rayna!Secret lovers[emoji16][emoji16][emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unaniringia sana weye, yaani hii mara ya tatu unaringa tu...Dah!![emoji16]Wanataka uwaanze weye sasa!
Mimi kwangu ushachelewa[emoji3]
Mimi niliacha hadi kutazama mechi. Rudi nyumbani kumenogaArsenal ila nilienda kwa mkopo Man C!km kuna kocha mpya ngoja nione uelekeo ntarudi kundini