Haya yote uloyaandika nimtu mwenyewe atake kuyafanya au asiyafanye.
Pasipokujalisha wamekutana humuhumu bado hakumfanyi aendelee kuishi kwa mazoea yale yale.
Najua huu ujumbe kusudio lako ulilenga wanawake, ila hata km niww bado usingechukulia poa unless mpo kusogeza siku so hamjafungwa na kitu.
By nature ,mwanamke nikiumbe mwenye wivu , na anayejihisi asiye na ulinzi muda wote , kwaiyo always atajitahidi kufanya yale yatakayompa aman na ulinzi juu ya mwenza wake .
Huwezi bebishana na mume/mpenzi wamtu alafu mwanamke wake akawa anajichekesha...kwa dunia hii hii???? .
Ivo basi ujuapo fulan na fulan niwanandoa/wapenz, nijukum lako kuhakikisha chat zenu hazilet mazingira magumu upande wapili.
Mi nadhan, Shida utakua nayo weee nasio mwenye mpenzi ,kwamaana wivu haujalisha aina ya mahusiano yaliyopo.
Napinga Hoja yako 100%...shemeji weeew shemej weeeeee....Aslay aliimba.