Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu hawana adabu wifi angu,wanajifanya wanajua kukojozana kuliko nn sijui...me kwa bebi wangu stakki nna wivu jomonii ntapata epilepsy buree[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] wii eti hadi kukojozana...nimecheka mweh!
Hahahha nikweli kabisa ila fanya ivi 75 iwe faida ..25 iwe hasara !! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe miye najitoaga fahamu eeeh!!!jamaniii!!coin has two sides....!!!!
Hahahahahaaaa.kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.
nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.
nitamvunja taya.
Mbona umenunaaaaa[emoji23][emoji23] hadi hapo nishakununia tayari
[emoji2] [emoji2] [emoji3] mbona kununiwaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] sie wa chumbani looh!wanaume msitufanyie hvyoo!!Hahaahhaha uwiiii umesahau kuna bebi wa public na privacy... Basi tunaishia kununiwa kimyakimya hahaahah wozaaaa
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji38]Kho kho!
Kabisaaa wiii[emoji28]Abiria chunga mzigo wako
Pendaneni tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shogaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] usifanye hvyoo!tutakosa kupeana umbea! [emoji1] [emoji1] [emoji2]
Vumilieni tu
Binafsi Nimekuelewa mno mno ila nachoweza sema tu ni kila mmoja ajijua na moyo /nafsi yake whether anachat kwa mazuri au laaa.... You know venye tupo na mioyo tofauti tofauti. Sasa wewe usipokua na akili ya kujiongeza au usipokua smart enough au ukiwa mroho mroho wa k or p anything can happen... ANYTHINGWizooooo[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Heheeeiyaaa[emoji108][emoji108][emoji2] [emoji2] [emoji3] mbona kununiwaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] sie wa chumbani looh!wanaume msitufanyie hvyoo!!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji8]Usipaliwe tuu wifi'angu[emoji16][emoji16]