Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Binafsi Nimekuelewa mno mno ila nachoweza sema tu ni kila mmoja ajijua na moyo /nafsi yake whether anachat kwa mazuri au laaa.... You know venye tupo na mioyo tofauti tofauti. Sasa wewe usipokua na akili ya kujiongeza au usipokua smart enough au ukiwa mroho mroho wa k or p anything can happen... ANYTHING



Cc Smart911
Mi najua wewe nyani mzee [emoji3] [emoji3] [emoji3] ushakwepa mishale yotee!hautishiki wala nini umekwivaaa
 
Back
Top Bottom