Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wifiii naanzaje kupaliwa na wewe upo wa kunipuliza..[emoji3][emoji3][emoji3] ila wifi mimi ninawivu ujue

Mwambie kaka ako ivooo
Mpk kakufata wewe jua anakupenda!
Wivu punguza kidogo
 
Hizi mambo za ajabu ajabu zamani hazikuwepo humu,mapenzi malizaneni hukohuko pm,sio kusumbuana huku jukwaani,unakuta uzi umeanzishwa unahusu uchumi au kilimo alafu mijitu inakuja kubebishana humohumo.
 
Wizooooo[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Binafsi Nimekuelewa mno mno ila nachoweza sema tu ni kila mmoja ajijua na moyo /nafsi yake whether anachat kwa mazuri au laaa.... You know venye tupo na mioyo tofauti tofauti. Sasa wewe usipokua na akili ya kujiongeza au usipokua smart enough au ukiwa mroho mroho wa k or p anything can happen... ANYTHING



Cc Smart911
 
Back
Top Bottom