Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Mimi niliacha hadi kutazama mechi. Rudi nyumbani kumenoga
Ahsante ntasikiliza ushauri wako ila ngoja nione uelekeo amekuja kocha kutoka nchi gani,timu gani?maana daah!arsenal walinifanya niache kutazama EPL kabisaa nashukuru Madrid wananipoza moyo hapa Leo Nimeuma vidole kwa Zidane
 
Aaahhh ilo lamwisho na hapo uliposema ,utajuaje km mtu anawake ..ndo penye swali fikirishi.

Kutamalaki kwa ukimya na kukosekama kwa uwazi ,lkn hii nadhan inakuwepo kwaajili ya kuhakikisha Mkolon anatawala makolon mengi.yaaan Partition of JF!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkoloni atawale makoloni mengi looh!

Ila daah mjini kuna mambo hapa!hilo la usiri nalo pia neno hilo!kuna watu humu nyokooo!wanakula vichwa km vinyozi!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkoloni atawale makoloni mengi looh!

Ila daah mjini kuna mambo hapa!hilo la usiri nalo pia neno hilo!kuna watu humu nyokooo!wanakula vichwa km vinyozi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyau kweliii umenivunjaaa mbavuuuu [emoji23][emoji23]

Watu wanahesabu vichwa tuuuuu.

Uko wapi nikuagizie kinywaji chako penda??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyau kweliii umenivunjaaa mbavuuuu [emoji23][emoji23]

Watu wanahesabu vichwa tuuuuu.

Uko wapi nikuagizie kinywaji chako penda??
Sasa je?!!unajua Melo karahishisha sana kazi humu kuna watu wao wamejiunga purposely kula vichwa hao kukomenti once in a month ila PM hukoo nomaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] na hao wanaume wengi wao!

Kuna wanawake wao wapo kibiznes zaidi pia yaani haachi kitu!

Kuna wengine mahusiano humu yanakuja accidentally tu amekutamani may be michango yako au kivyovyote mnajikuta wapenzi.
Jf ni kubwa kakaa vyote vipo!
 
Yote ulosema niukweli mtupu , sikuwah kujua km kuna wakati unaongea ukweli namna hii..kumbe saaingine unajitoa ufahamu???.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatumia kinywaj gan??
 
Yote ulosema niukweli mtupu , sikuwah kujua km kuna wakati unaongea ukweli namna hii..kumbe saaingine unajitoa ufahamu???.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatumia kinywaj gan??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe miye najitoaga fahamu eeeh!!!jamaniii!!coin has two sides....!!!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sasa kwani si tunachat hapa hapa jukwaani,mfano Mimi na wewe hapa tuchat weye una mbebz wake ndo anune kweli?!![emoji6] [emoji3] [emoji3] [emoji3] au aninunie hivi ni sawa jamani!!!
Inategemea mnachatije shoo,wengine wanachati mpaka wanakaribia kukojozana halafu ww unacheka tuu eti kisa mmekutana humu,hapana kwakweli[emoji16][emoji16] labda kama hampendani ila kama mko real lazima muheshimiane japo kiduchu...
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuchat huko kwa hvyo sasa hvyo tuu machi!kuna ile kawaida isizidi kipimo kwa kweli!
 
Haya yote uloyaandika nimtu mwenyewe atake kuyafanya au asiyafanye.

Pasipokujalisha wamekutana humuhumu bado hakumfanyi aendelee kuishi kwa mazoea yale yale.

Najua huu ujumbe kusudio lako ulilenga wanawake, ila hata km niww bado usingechukulia poa unless mpo kusogeza siku so hamjafungwa na kitu.

By nature ,mwanamke nikiumbe mwenye wivu , na anayejihisi asiye na ulinzi muda wote , kwaiyo always atajitahidi kufanya yale yatakayompa aman na ulinzi juu ya mwenza wake .

Huwezi bebishana na mume/mpenzi wamtu alafu mwanamke wake akawa anajichekesha...kwa dunia hii hii???? .

Ivo basi ujuapo fulan na fulan niwanandoa/wapenz, nijukum lako kuhakikisha chat zenu hazilet mazingira magumu upande wapili.

Mi nadhan, Shida utakua nayo weee nasio mwenye mpenzi ,kwamaana wivu haujalisha aina ya mahusiano yaliyopo.

Napinga Hoja yako 100%...shemeji weeew shemej weeeeee....Aslay aliimba.
Kho kho!
 
Back
Top Bottom