ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
No, naweza kuwa na kidosho lakini tukakubaliana kuachiana space, wengine hawawezi kwa sababu ya wivu na kulinda mabebez wao.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kaka sizungumzii kwa ubaya hata kidogo!
Shida inakuwa miye sijui kama Ely una kidosho humu sasa nikikutania basi bibie anamind balaa!
Avumilie tu ndo ilivyo sasa!
Ukiona hivyo si unawaacha tu. Rayna ukitaka kuchat si uje kwangu tu,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]