Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Ha ha haa ..
Wewe na swahiba wako Babu Asprin hatuwezi kuingilia ugomvi wenu. Huu ujumbe mwambie wewe mweyewe.
 
hahaaa... mapenzi ya gerezeni Kimara....

by the way mkuu hii content "" Sakayo ameiona..??
 
Mzee baba " mimi mahaba ya Humu " hapana kwakweli" labda iwe " ya wimbo wa Jaymo + ngwair" .....mambo ya kutangazwa kuwa mimi ndiye main niqa" kumbe kuna wtu wananitafunia Karanga zangu PM ...huku wana nichora na kuniona Tomaso ....siwezi " wallahi wengine tuna mioyo midogo kama wa kuku" tusije kubabuka roho bure
 
hahaha..tena wewe jinsi ulivyokuwa na maneno machafu yasiyo piga mswaki...huyo atakaye kuingia kichwa kichwa kisa ana wivu...mbona ajiandae kuweka pio pio la kwenye moyo
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkoloni atawale makoloni mengi looh!

Ila daah mjini kuna mambo hapa!hilo la usiri nalo pia neno hilo!kuna watu humu nyokooo!wanakula vichwa km vinyozi!
hahaha mamameeee .....lipa mbavu zangu ""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…