Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MwenyeweMfyuuuuuu
Ebu mtag DonMfyuuu na wewe!ila si unajua kwetu uswazi [emoji3] [emoji3] nisije kukabwa buree
Niwahi kurudi
Ha ha haa ..kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.
nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.
nitamvunja taya.
WoyooooooooDon wa nini bwanaa!!sisi wenyewe bwanaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi simuiti!!!
Wewe mke wa Dave umesikia ?Woyoooooooo
Hahahahaha sikuhizi nimeacha mbona bado hujanotice?? wee najua pa kukukamatia mbona
Huyo anabebeka ndugu. Unamzungusha chumba kizima umembeba mikinoni huku mnatazamana ukija kumshusha na usingizi pale pale
Umeona eeeenhHata kumsapot mzigoni pia ni rahisi lol!
hahaaa... mapenzi ya gerezeni Kimara....Acha watu walinde mahusiano yao, sio kazi rahisi kufanya mahusiano kuwa strong, hasa haya ya Gerezani-Kimara, ila kama mtu anataka kumlinda mwenzake, i think its fair kufanya hivyo, na wewe ukiona, jaribu kuwapa space. Njoo uchat na Eli, ye hana shida[emoji16][emoji16][emoji3]
Mzee baba " mimi mahaba ya Humu " hapana kwakweli" labda iwe " ya wimbo wa Jaymo + ngwair" .....mambo ya kutangazwa kuwa mimi ndiye main niqa" kumbe kuna wtu wananitafunia Karanga zangu PM ...huku wana nichora na kuniona Tomaso ....siwezi " wallahi wengine tuna mioyo midogo kama wa kuku" tusije kubabuka roho bureNikweli mnachat hapahapa , lkn nani anajua kinachoendelea nyuma??
Yapasa ufahamu kua kujengA Imani nikazi kubwa sanaaa km ilivyokua kujenga mnara wa babeli ,, hamna mtu atakayeona kawaida tuuu kirahisi rahisi namna ivo .
Ukizingatia yakua Tone ya chats inatofautiana, huenda ww ukawa nalugha lain kumshinda bi dada , unahisi nn hapo ???
Ivo nisahihi kabisa kwa mtu kukuonyesha kua lazima ukae mbali na familia yake nisehem ya kujilinda .
hahaha..tena wewe jinsi ulivyokuwa na maneno machafu yasiyo piga mswaki...huyo atakaye kuingia kichwa kichwa kisa ana wivu...mbona ajiandae kuweka pio pio la kwenye moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi haijawahi nikuta hyo labda ipo ila sasa sijui maana huwaga sifatiliagi hvyo vitu vidogo vidogo miye kama wapo wanaonichunia wanajiumiza tu!
Wanaume zao siwataki na wala hawajawahi kunitaka wawe na amani tu masikini yarrabbi!
Kuhusu kuchat na wewe [emoji3] [emoji3] thtaki miye
Hahaha Heineken sio kwa mzee wa tanapa Heineken kwa Don bana
hahaha mamameeee .....lipa mbavu zangu ""[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkoloni atawale makoloni mengi looh!
Ila daah mjini kuna mambo hapa!hilo la usiri nalo pia neno hilo!kuna watu humu nyokooo!wanakula vichwa km vinyozi!