hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Yaani weee acha tu shunie ....sisi wengine mtuache tu tuendelee kuwa kunguru"" kuna I'd za watu Fulani siwaoni ghafla Humu wametoweka..nimeshaanza kuwa namashaka "" itakuwa wameshakulana"" mwisho wa siku wametibuana " kuja jf wanaogopa...wanapaona kama segerea.....Acha nikae Kimya tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]