Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani weee acha tu shunie ....sisi wengine mtuache tu tuendelee kuwa kunguru"" kuna I'd za watu Fulani siwaoni ghafla Humu wametoweka..nimeshaanza kuwa namashaka "" itakuwa wameshakulana"" mwisho wa siku wametibuana " kuja jf wanaogopa...wanapaona kama segerea.....Acha nikae Kimya tu
 
We ulikua unampiga biti my twin hukooo!!!"marufuku kuchati na Fulani halafu yule rayna yulee ole wako umkoti'eti eeehh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mahondaw wangu hajawahi nipangia nani wakuchat nae... hehehe... ni mimi tu mwenyewe sitaki kumkwaza kwa ku-entertain watu mbele yake au hata behind her back...

Roho yake haijaumbwa na chuma...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom