haha haha..hapa kakugusa ..kabisaa...wewe jambazi ..watu wanaigiza Humu" utasikia Shem darling my kaka kibao " kumbe wanakutanisha vikojoleo.....mamaeee wallahi Jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyau kweliii umenivunjaaa mbavuuuu [emoji23][emoji23]
Watu wanahesabu vichwa tuuuuu.
Uko wapi nikuagizie kinywaji chako penda??
Hujasettle!!
haha haha haha...mamaeee"" eti wana chat mpaka wanafikia nini !?Inategemea mnachatije shoo,wengine wanachati mpaka wanakaribia kukojozana halafu ww unacheka tuu eti kisa mmekutana humu,hapana kwakweli[emoji16][emoji16] labda kama hampendani ila kama mko real lazima muheshimiane japo kiduchu...
Aiseeee..huyo sasa kacheza faulo ....watu kama hao huwa mnachat nao wanini sasa ??Umesahau kitu kimoja unakuta mtu unachat naye kawaida tu anatoka hapo anaenda pm kwa mbebez wako anasema anakukula loooh mtihani kwa kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] don nimecheka kilofa lofaaa!!!!daaah!Naomba nichangie kwenye hii topic.
Point imeyeyuka, ila na wewe tafuta wako humu tuone kama utamruhusu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hufi haraka mtafute mchumba ako mzigua kesho tutakuwa nae kwenye mishkaki mitaa ya kati hapoNawaona.
Abeeh shemWewe mke wa Dave umesikia ?
Hivi unawazaga nn mfyuuuu hapa ni chit chatDon't call him!tunatosha wenyewe!
Mzee baba " mimi mahaba ya Humu " hapana kwakweli" labda iwe " ya wimbo wa Jaymo + ngwair" .....mambo ya kutangazwa kuwa mimi ndiye main niqa" kumbe kuna wtu wananitafunia Karanga zangu PM ...huku wana nichora na kuniona Tomaso ....siwezi " wallahi wengine tuna mioyo midogo kama wa kuku" tusije kubabuka roho bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha haha..hapa kakugusa ..kabisaa...wewe jambazi ..watu wanaigiza Humu" utasikia Shem darling my kaka kibao " kumbe wanakutanisha vikojoleo.....mamaeee wallahi Jf
Hapana bana muulize hata Smart911 mwenyewe...he's smart enough Sina haja ya kumuamlia na huwezi kumlinda mtu anajilinda mwenyewe. He had friends hata kabla yangu if angeamua kuwa nao angekuwa nao tu... Kunipata mimi niseme tu ni kwa neema na Rehema zake Allah.. [emoji120] [emoji120]We ulikua unampiga biti my twin hukooo!!!"marufuku kuchati na Fulani halafu yule rayna yulee ole wako umkoti'eti eeehh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
That's my wizoooo from my brodaaaaa!!Hapana bana muulize hata Smart911 mwenyewe...he's smart enough Sina haja ya kumuamlia na huwezi kumlinda mtu anajilinda mwenyewe. He had friends hata kabla yangu if angeamua kuwa nao angekuwa nao tu... Kunipata mimi niseme tu ni kwa neema na Rehema zake Allah.. [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha nilale mieShunie kaah!haufai wewee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana bana muulize hata Smart911 mwenyewe...he's smart enough Sina haja ya kumuamlia na huwezi kumlinda mtu anajilinda mwenyewe. He had friends hata kabla yangu if angeamua kuwa nao angekuwa nao tu... Kunipata mimi niseme tu ni kwa neema na Rehema zake Allah.. [emoji120] [emoji120]