Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyau kweliii umenivunjaaa mbavuuuu [emoji23][emoji23]

Watu wanahesabu vichwa tuuuuu.

Uko wapi nikuagizie kinywaji chako penda??
haha haha..hapa kakugusa ..kabisaa...wewe jambazi ..watu wanaigiza Humu" utasikia Shem darling my kaka kibao " kumbe wanakutanisha vikojoleo.....mamaeee wallahi Jf
 
Inategemea mnachatije shoo,wengine wanachati mpaka wanakaribia kukojozana halafu ww unacheka tuu eti kisa mmekutana humu,hapana kwakweli[emoji16][emoji16] labda kama hampendani ila kama mko real lazima muheshimiane japo kiduchu...
haha haha haha...mamaeee"" eti wana chat mpaka wanafikia nini !?
 
Umesahau kitu kimoja unakuta mtu unachat naye kawaida tu anatoka hapo anaenda pm kwa mbebez wako anasema anakukula loooh mtihani kwa kweli
Aiseeee..huyo sasa kacheza faulo ....watu kama hao huwa mnachat nao wanini sasa ??
 
Naomba nichangie kwenye hii topic.

Point imeyeyuka, ila na wewe tafuta wako humu tuone kama utamruhusu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] don nimecheka kilofa lofaaa!!!!daaah!

Mi mzungu wewee!sinaga wivuu! Huoo kakaa
 
Mzee baba " mimi mahaba ya Humu " hapana kwakweli" labda iwe " ya wimbo wa Jaymo + ngwair" .....mambo ya kutangazwa kuwa mimi ndiye main niqa" kumbe kuna wtu wananitafunia Karanga zangu PM ...huku wana nichora na kuniona Tomaso ....siwezi " wallahi wengine tuna mioyo midogo kama wa kuku" tusije kubabuka roho bure
haha haha..hapa kakugusa ..kabisaa...wewe jambazi ..watu wanaigiza Humu" utasikia Shem darling my kaka kibao " kumbe wanakutanisha vikojoleo.....mamaeee wallahi Jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ulikua unampiga biti my twin hukooo!!!"marufuku kuchati na Fulani halafu yule rayna yulee ole wako umkoti'eti eeehh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana bana muulize hata Smart911 mwenyewe...he's smart enough Sina haja ya kumuamlia na huwezi kumlinda mtu anajilinda mwenyewe. He had friends hata kabla yangu if angeamua kuwa nao angekuwa nao tu... Kunipata mimi niseme tu ni kwa neema na Rehema zake Allah.. [emoji120] [emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hufi haraka mtafute mchumba ako mzigua kesho tutakuwa nae kwenye mishkaki mitaa ya kati hapo
Shunie kaah!haufai wewee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi unawazaga nn mfyuuuu hapa ni chit chat
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana bana muulize hata Smart911 mwenyewe...he's smart enough Sina haja ya kumuamlia na huwezi kumlinda mtu anajilinda mwenyewe. He had friends hata kabla yangu if angeamua kuwa nao angekuwa nao tu... Kunipata mimi niseme tu ni kwa neema na Rehema zake Allah.. [emoji120] [emoji120]
That's my wizoooo from my brodaaaaa!!
Saafi sanaaaaa!
 
Hapana bana muulize hata Smart911 mwenyewe...he's smart enough Sina haja ya kumuamlia na huwezi kumlinda mtu anajilinda mwenyewe. He had friends hata kabla yangu if angeamua kuwa nao angekuwa nao tu... Kunipata mimi niseme tu ni kwa neema na Rehema zake Allah.. [emoji120] [emoji120]

You are such a beautiful and very understanding lovely young lady...

Though times unajawaga na wivu mpaka nabaki kifurahi mwenyewe...

Kaone kwanza kalivyo kazuri...
 
Back
Top Bottom