Ukanitosa
Pole mama. Nasubiri salam.Sijakutosa babe,ila jua nina salam zako nkitulia nitakuambia nimekuwa mvivu kuandika na kuna kitu kinanikip busy
Ndo hivyo tena... Tumebakia Kuwa kama kipunda cha urowa
Marhabaa dada angu mpendwa... Hawajambo Dar na Handeni?Shikamoo kaka
Dar na Handeni wazima kabisa.Marhabaa dada angu mpendwa... Hawajambo Dar na Handeni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo muache hivyoo kuchatisha mabeb wa watu. Watu hatujuani ila tunaogopana kuibiana. Nasubiri nilichokuomba jana halafu [emoji6][emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yashakukuta kumbee! Pole sana!
Tunashukuru Dada..... Lakini ukweli hasa wewe ni Shemeji yangu... Maana kakaangu ameoa mzigua mwenzioDar na Handeni wazima kabisa.
Na mie nioe undugu ukueTunashukuru Dada..... Lakini ukweli hasa wewe ni Shemeji yangu... Maana kakaangu ameoa mzigua mwenzio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu wasiwasi mpk kwenye fake I'd na kufunga PM kote ila mtu anajishtukia kua utamuibia![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo muache hivyoo kuchatisha mabeb wa watu. Watu hatujuani ila tunaogopana kuibiana. Nasubiri nilichokuomba jana halafu [emoji6][emoji6]
Ushakumbuka mkwe najua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukitaka usiibiwe huku kuwa kimya ba babe wako. Wengine hata kama hawamtaki mtu watatembea nae tu kukunyoosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu wasiwasi mpk kwenye fake I'd na kufunga PM kote ila mtu anajishtukia kua utamuibia!
Mkwe uliniomba nini miye nshasahau tenaa![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] mkwe nshakumbuka loooh!muulize shunie ndo anajuaUshakumbuka mkwe najua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukitaka usiibiwe huku kuwa kimya ba babe wako. Wengine hata kama hawamtaki mtu watatembea nae tu kukunyoosha
UkimaanishaNdo hivyo tena... Tumebakia Kuwa kama kipunda cha urowa
WoyoooooooooooUshakumbuka mkwe najua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukitaka usiibiwe huku kuwa kimya ba babe wako. Wengine hata kama hawamtaki mtu watatembea nae tu kukunyoosha
Habari ndo hiyo mambo kimya kimya.[emoji23] [emoji23] mkwe nshakumbuka loooh!muulize shunie ndo anajua
Mwenzangu kama kula bora nile kimya kimya wabaki kuotea otea tu![emoji2] [emoji2] [emoji1] maana mwingine atafanya kusudi tu ili aone hicho kinachofanya umsifie mbebi wako ni kipii!!
Kimya kimya ndo mpango
Mm ndio mana sasa hivi niko na asiyejulikana[emoji23] [emoji23] mkwe nshakumbuka loooh!muulize shunie ndo anajua
Mwenzangu kama kula bora nile kimya kimya wabaki kuotea otea tu![emoji2] [emoji2] [emoji1] maana mwingine atafanya kusudi tu ili aone hicho kinachofanya umsifie mbebi wako ni kipii!!
Kimya kimya ndo mpango
We Cheka tuu!nyaku nyaku wapo na wanaiba kweli