Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yashakukuta kumbee! Pole sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo muache hivyoo kuchatisha mabeb wa watu. Watu hatujuani ila tunaogopana kuibiana. Nasubiri nilichokuomba jana halafu [emoji6][emoji6]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu wasiwasi mpk kwenye fake I'd na kufunga PM kote ila mtu anajishtukia kua utamuibia!

Mkwe uliniomba nini miye nshasahau tenaa![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ushakumbuka mkwe najua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukitaka usiibiwe huku kuwa kimya ba babe wako. Wengine hata kama hawamtaki mtu watatembea nae tu kukunyoosha
 
[emoji23] [emoji23] mkwe nshakumbuka loooh!muulize shunie ndo anajua

Mwenzangu kama kula bora nile kimya kimya wabaki kuotea otea tu![emoji2] [emoji2] [emoji1] maana mwingine atafanya kusudi tu ili aone hicho kinachofanya umsifie mbebi wako ni kipii!!

Kimya kimya ndo mpango
 
Habari ndo hiyo mambo kimya kimya.
 
[emoji23] [emoji23] mkwe nshakumbuka loooh!muulize shunie ndo anajua

Mwenzangu kama kula bora nile kimya kimya wabaki kuotea otea tu![emoji2] [emoji2] [emoji1] maana mwingine atafanya kusudi tu ili aone hicho kinachofanya umsifie mbebi wako ni kipii!!

Kimya kimya ndo mpango
Mm ndio mana sasa hivi niko na asiyejulikana
 
Back
Top Bottom