Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Amani iwe nanyi wapendwa!

Wake kwa waume mlio jf,iwe MMU au jukwaa lingine lolote humu ndani wapenzi,wachumba na wake zao au mahusiano yoyote yanayopelekea hisia za ndani ya mwanadamu,tafadhilini punguzeni wivu[emoji108] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kwa wenza wenu!

Kumbuka ulimpata jf sasa tafadhali vumilia tu anapochat na wanajf wenziwe kwa kua hawa kwa sasa ni kama mashemeji,mawifi,wakwe au majirani.

Wengine mnaendelea mbali zaidi mpk mkiona wapenzi wenu wanataniana na members basi mnakasirika na kuwachunia hao memba kimtindo;mfano akikukoti haumkomti,akikumention unambechua(unampotezea),hulike wala kudislike thread chochote!

Wengine wale wasio na uvumilivu tena wakiona wenza wao kama ni wanaume wana mazoea na member humu basi ugomvi hauishi wanakufata mpk PM kukushambulia zaidi.
Sasa wanandugu wivu wa nini wakati umemkuta hapa,mkatongozana hapa(PM),mkakubaliana mkafanya yenu!iweje uumie akichat na watu wa hapa sasa!

Sasa kila mwenye mpenzi akisema asichat tena si jf itapotea au amsha amsha itapungua![emoji13] [emoji13] [emoji13]

Wenye wapenzi wenu tafadhalini hebu mjiamini bwanaaa[emoji57] [emoji57] [emoji57]ukiona wa kwako anakula wengi humu basi jua huyo kicheche wa asili mpotezee na ukiona analiwa na wengi basi ni kahaba tu hata kitaa huko hivyo hvyo!

NB;Mupambane na hali zenu tu hakuna namnaa [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]!
 
Haya yote uloyaandika nimtu mwenyewe atake kuyafanya au asiyafanye.

Pasipokujalisha wamekutana humuhumu bado hakumfanyi aendelee kuishi kwa mazoea yale yale.

Najua huu ujumbe kusudio lako ulilenga wanawake, ila hata km niww bado usingechukulia poa unless mpo kusogeza siku so hamjafungwa na kitu.

By nature ,mwanamke nikiumbe mwenye wivu , na anayejihisi asiye na ulinzi muda wote , kwaiyo always atajitahidi kufanya yale yatakayompa aman na ulinzi juu ya mwenza wake .

Huwezi bebishana na mume/mpenzi wamtu alafu mwanamke wake akawa anajichekesha...kwa dunia hii hii???? .

Ivo basi ujuapo fulan na fulan niwanandoa/wapenz, nijukum lako kuhakikisha chat zenu hazilet mazingira magumu upande wapili.

Mi nadhan, Shida utakua nayo weee nasio mwenye mpenzi ,kwamaana wivu haujalisha aina ya mahusiano yaliyopo.

Napinga Hoja yako 100%...shemeji weeew shemej weeeeee....Aslay aliimba.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sasa kwani si tunachat hapa hapa jukwaani,mfano Mimi na wewe hapa tuchat weye una mbebz wake ndo anune kweli?!![emoji6] [emoji3] [emoji3] [emoji3] au aninunie hivi ni sawa jamani!!!
 
Acha watu walinde mahusiano yao, sio kazi rahisi kufanya mahusiano kuwa strong, hasa haya ya Gerezani-Kimara, ila kama mtu anataka kumlinda mwenzake, i think its fair kufanya hivyo, na wewe ukiona, jaribu kuwapa space. Njoo uchat na Eli, ye hana shida[emoji16][emoji16][emoji3]
 
kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.

nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.

nitamvunja taya.
 
Nikweli mnachat hapahapa , lkn nani anajua kinachoendelea nyuma??

Yapasa ufahamu kua kujengA Imani nikazi kubwa sanaaa km ilivyokua kujenga mnara wa babeli ,, hamna mtu atakayeona kawaida tuuu kirahisi rahisi namna ivo .

Ukizingatia yakua Tone ya chats inatofautiana, huenda ww ukawa nalugha lain kumshinda bi dada , unahisi nn hapo ???

Ivo nisahihi kabisa kwa mtu kukuonyesha kua lazima ukae mbali na familia yake nisehem ya kujilinda .
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jamani loooh!sasa jamani sasa si tunachat tu!sasa basi waweke mahusiano wazi ili tujue tujilinde!maana ni ngumu Mimi kujua Kama Putin una mbebs humu so nisikutanie

Na we mkaka wajua una mbebi bado watongoza tongoza tena ili iweje!

Unapaswa uwe na self respect wewe mwenyewe!
 
Acha watu walinde mahusiano yao, sio kazi rahisi kufanya mahusiano kuwa strong, hasa haya ya Gerezani-Kimara, ila kama mtu anataka kumlinda mwenzake, i think its fair kufanya hivyo, na wewe ukiona, jaribu kuwapa space. Njoo uchat na Eli, ye hana shida[emoji16][emoji16][emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kaka sizungumzii kwa ubaya hata kidogo!

Shida inakuwa miye sijui kama Ely una kidosho humu sasa nikikutania basi bibie anamind balaa!

Avumilie tu ndo ilivyo sasa!
 
kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.

nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.
[emoji16][emoji16][emoji16]ujumbe umemfika!!
Ataacha Mara moja
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jamani loooh!sasa jamani sasa si tunachat tu!sasa basi waweke mahusiano wazi ili tujue tujilinde!maana ni ngumu Mimi kujua Kama Putin una mbebs humu so nisikutanie

Na we mkaka wajua una mbebi bado watongoza tongoza tena ili iweje!

Unapaswa uwe na self respect wewe mwenyewe!
Aaahhh ilo lamwisho na hapo uliposema ,utajuaje km mtu anawake ..ndo penye swali fikirishi.

Kutamalaki kwa ukimya na kukosekama kwa uwazi ,lkn hii nadhan inakuwepo kwaajili ya kuhakikisha Mkolon anatawala makolon mengi.yaaan Partition of JF!
 
Back
Top Bottom