D
Deleted member 485868
Guest
Huvutia kwake shoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huvutia kwake shoo
Wifi na wifi wake haya deken sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wiiii nakupenda leo kesho hadi mtondogoo...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji19]Kwakweli
Hatariiii[emoji28]wifi yangu hataki mchezo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wivu hadi kwa madada zake
Muhimu mpendane tu wifi na wifi akeAhhahaahaaa...wifi umetishaa
Hana mchezo muchezoooo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wivu hadi kwa madada zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona mgumba amepata ujauzito, basi mtaa mzima utajaa mate... tehteehhh
Yaaan looh bahat nzur mmeelewana vzurHatariiii[emoji28]wifi yangu hataki mchezo
Upooooo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shost wangu mm umemaliza agiza kinywaji unachokunywa bill ikuje kwangu isiwe belaire tu nakujua wewe na misifa yakoInategemea mnachatije shoo,wengine wanachati mpaka wanakaribia kukojozana halafu ww unacheka tuu eti kisa mmekutana humu,hapana kwakweli[emoji16][emoji16] labda kama hampendani ila kama mko real lazima muheshimiane japo kiduchu...
[emoji23][emoji23][emoji23] wifi abiria nachunga mzigo wanguHatariiii[emoji28]wifi yangu hataki mchezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhahaha ufilipino bongo,.. mahondaw nshamwambia yeye wake hawezi bebishwa maana hadi mods wanalitambua hilo,..shughuli iko kwa wenzangu na mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahhahaha eti haibikiCheka tuu mwaya,we wako haibiki huyo hata kwa dawa,. kuta mlizozijenga ni kama za yeriko,.[emoji16][emoji16]
Ni kukaba mpaka penati tu..hakuna namn[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wivu hadi kwa madada zake