Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulijuaje wewe?[emoji23] [emoji23] babu ataka kula nyama!
Kivip yaani?[emoji2] [emoji2] [emoji2] waonekana tuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kiduka cha mangi jamani ebu ngoja nijaribu kukupigia tena mzee wa ushuani alikuwa hupatikaniki kabisaKumnyima ntu kitu ,ungali unacho moyo wako waona soni ,Hahaha ,kiduka cha Mangi vipi ?
Halafu nyama ya nani hio?[emoji2] [emoji2] [emoji2] waonekana tuu
Msimamo mzuri
Sawa mjukuu wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu yake shunie vizuri unanijua mjukuu wako hukawii kunitoa kwenye mood nikakubadirikiaBasi bwana nisije nikaharibu mood yako ukalala hovyo buree
Sasa mbebez wako unamnyimaje jamaniHahaha ya kweli haya?
Akwendreeee uko[emoji23] [emoji23] babu ataka kula nyama!
Woooooozeeeer na kwa nn kiliwe na nyenyere unampa mbebez wako tu akukule[emoji23] [emoji23] usikibane kitaliwa na nyenyere kaburini!
Lakini pia wengine hatumjui mama watoto wako. Lela (wivu wa ndoa) ni lazima uwepo kwa kila binadamu, Ila usiwe wa kupitiliza ukaua. Kuna mkuu anaitwa "Mama G" au "Mama Sabrina" huwa anasema ana dume, Hivyo huwa anapunguza msongamano kwa njia hiyo.kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.
nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.
nitamvunja taya.
Mali ya umma kila mtu unampa jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio Mali ya umma!
Nakazia mieUlichopewa na Mungu kumnyima mwenziwo dhambii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haya bibie,vipi Shayo kafunga au yuko macho?Sasa mbebez wako unamnyimaje jamani