Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.

nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.

nitamvunja taya.
Lakini pia wengine hatumjui mama watoto wako. Lela (wivu wa ndoa) ni lazima uwepo kwa kila binadamu, Ila usiwe wa kupitiliza ukaua. Kuna mkuu anaitwa "Mama G" au "Mama Sabrina" huwa anasema ana dume, Hivyo huwa anapunguza msongamano kwa njia hiyo.
Mara 1 moja ukilitaja jike lako, Msongamano utapungua na hawata mnyatia tena.
 
Back
Top Bottom