Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaMuhenga au
Ulienda wapi lakini...Upendo wako hauna kifani shem langu.
Hivi mwanaume hana wivu hata wa kuigizaaUmeanza ebu msamehe shem wangu uko
Hahaha, ondoa shaka. PM ya nini, yote ni live hapa hapa my one n' only, huko pm kunakuwa na makubwa ya kutisha, sipapendi kuliko.Hapana
Ila ananitesa sana jamani....
Saivi kashaenda pm hukoo
Dah haya bana,ngoja nipige story na shayo hapaHahaha nichagulie basi jina la kukuita jamani
Ulienda wapi lakini...
Matumizi ya pm acha kwa sasa, hebu ukuje huku jukwaani
Hahahaha sasa pm yupo na nani we si upo jukwaaniHapana
Ila ananitesa sana jamani....
Saivi kashaenda pm hukoo
Hivi mwanaume hana wivu hata wa kuigizaa
Kuna kababu flani hivi sijui clorokwini, kuna kajamaa kengine tena..yani tafrani shemWakina nani hao shem waliokuwa wanamchum
Dah haya bana,ngoja nipige story na shayo hapa
Nasubiria jibuWakina nani hao shem waliokuwa wanamchum
Nasubiria jibu
Nani umemfuata huko lakini mpaka uniache hapa mimi!! Mwenyewe sipapendi kabisaaaHahaha, ondoa shaka. PM ya nini, yote ni live hapa hapa my one n' only, huko pm kunakuwa na makubwa ya kutisha, sipapendi kuliko.
Yaani sijui yuko na nani hukooHahahaha sasa pm yupo na nani we si upo jukwaani
Yaani sijui yuko na nani hukoo
Basi ondoa shaka, wewe na mimi[emoji127][emoji131]Nani umemfuata huko lakini mpaka uniache hapa mimi!! Mwenyewe sipapendi kabisaaa
Sio kweeliHuyo mtu mzima dada anaumia ndani kwa ndani