Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Niambie kwanza, umewaacha wale micheps wako? Ulikuwa nao wengi mno, kila kona naona wakikuchum tu, shahidi Shunie.
Sina michepuko kabisaaa, si umeniambia nimwache babu Asprin?! Ndo alikuwa mchepuko wangu wa kudumu!! Hao wengine ni rafiki tuuuuuu
 
Back
Top Bottom