Wenye wapenzi Kinondoni mnajiamini nini?

Wenye wapenzi Kinondoni mnajiamini nini?

Mleta mada usituchafulie kinondoni yetu...hào unaowasema sio wazawa wa kinondoni hawa ni wanafunzi wa vyuo mbambalimbali wamepanga huku,isitoshe kino ni sehem ya bata kama zote,watu tofauti tofauti huja huku kudanga
 
Kino,mwananyamala,sinza,River side,Tabata,Manzese,Buguruni,Buza, Mbagala na kimala nayo inachipukia kwa kasi hayo maeneo biashara ya papuchi imekuwa rasmi yaani kama unatarajia kuoa maeneo hayo[emoji23][emoji23] daaa kuna uwezekano mkubwa sana unaoa kahaba fanya utafiti vizuri.
 
Back
Top Bottom