Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Tazolako limeanzia kwenye jina lako, so hizi mambo achana nazo.Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Successfully paired😹Mapenzi ya bluetooth sio?
😹😹😹Mulio kitu gan?
YaaaMapenzi ya bluetooth sio?
Ni vizuri tumeongezeka maana ningepopolewa mwenyewe tu.Hata mim inanishaganza
Kuwa makini ndugu usije letewa kidume mwenye ID ya kike ukajaa kwa mwanaume mwenzio.Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Mchukue Qashy Lilith c unaona anazagaa zagaa kwenye uzi wako.Yaaa
Mulio na mademuMulio ni kitu gan?
Mukawapata?
Munajua ?
Kwa uandishi huo sioni ukipata mtu asee🥲Mulio na mademu
Mkuu mim mwaka huu hauishi lazima ning'oe mtoto humNi vizuri tumeongezeka maana ningepopolewa mwenyewe tu.