Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu mliwezaje kuwapata?

Mwisho kabisa kama kuna demu mnamfahamu kuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Humu si rahisi sana kupata singo.
Ukipata mnaendana mnaruka tu na hivi ni mwezi wa pili huu jitahidi tu usiishe hivihivi.

Mimi ninae humu na huwa kila mmoja wetu anamfeel mwenzie kivyake maana bado hatujaambiana
 
Back
Top Bottom