Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Kijana wewe hujui namna utelezi unavyoumiza akichapa mwengine

Hivi unajua ana nyash kama hapa na morogoro halafu wewe ndiyo uishike? No nina wivu
😆😆😆 Kama ni hivyo basi tulia mkuu kuwa na amani, ukionesha kuwa na wivu kupindukia ataanza kuniganda ili akukomoe wewe nawajuwa vizuri hawa
 
Back
Top Bottom