Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
- #461
Mkuu sijuwi kawa nina kazi au nina kibarua ila olu in olu ninashughulika.Ndugu yangu Kijana masikini kwanza una kazi, kama unayo sawa kama huna jua kuwa kuwa na demu wakati ukiwa jobless ni mtihani mkubwa asilimia za kufaulu mtihani huo ni ndogo mno 3/100 kwa kuwa utanyanyaswa, utavunjika moyo ila usijali waswahili wanasema kwenye giza totoro mwanga wa matumaini utjitokeza,
napenda kukukaribisha kwenye chama cha majobless pro max kikiongozwa na Mh Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman na makamu wake Bolotoba katibu wa chama ni min -me
waziri wq mambo ya ndani ni Thecoder msajili wa chama ni dosho12 wakili ni Selikavu mratibu wa chama Edo kissy
Na bila kumsahau semaji la chama makutupora
Kama ukifanikiwa kupata demu hichi kipindi cha valentine sisi tutakuelekeza ni sehemu gani kuna maua mazuri ya kuchuma bure kwa ajili ya zawadi ya maua na ni zawadi gani inapaswa kutoa ili wote mridhiki pasipo kuumia moyo mmoja wenu
Kidumu chama cha majobless pro max
Demu nishapata tayari, suuni namtangaza hapa