Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Ndugu yangu Kijana masikini kwanza una kazi, kama unayo sawa kama huna jua kuwa kuwa na demu wakati ukiwa jobless ni mtihani mkubwa asilimia za kufaulu mtihani huo ni ndogo mno 3/100 kwa kuwa utanyanyaswa, utavunjika moyo ila usijali waswahili wanasema kwenye giza totoro mwanga wa matumaini utjitokeza,

napenda kukukaribisha kwenye chama cha majobless pro max kikiongozwa na Mh Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman na makamu wake Bolotoba katibu wa chama ni min -me

waziri wq mambo ya ndani ni Thecoder msajili wa chama ni dosho12 wakili ni Selikavu mratibu wa chama Edo kissy

Na bila kumsahau semaji la chama makutupora

Kama ukifanikiwa kupata demu hichi kipindi cha valentine sisi tutakuelekeza ni sehemu gani kuna maua mazuri ya kuchuma bure kwa ajili ya zawadi ya maua na ni zawadi gani inapaswa kutoa ili wote mridhiki pasipo kuumia moyo mmoja wenu

Kidumu chama cha majobless pro max
Siku ya valentine ananunue muwa wa 2000 atembee anatafuna funa hadi aumalize siku ya valentine utamu keep busy
 
Back
Top Bottom