Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Hivi unaanzaje kufikiri kutafuta mpenzi mtandaoni.!... demu wa kupiga na kusepa uko tinder au badoo sawa lakini mpenzi hapana kwa kweli. Unamfanyiaje vetting mtandaoni.

Kwa kweli acha nionekane mshamba tu lakini negotiation yoyote ya mtandaoni iwe mpenzi au biashara sifanyi
 
haohao walioko tinder na badoo ndo wako humu tena humu ni pro max wanakufata wenyewe pm
 
Ndugu yangu Kijana masikini kwanza una kazi, kama unayo sawa kama huna jua kuwa kuwa na demu wakati ukiwa jobless ni mtihani mkubwa asilimia za kufaulu mtihani huo ni ndogo mno 3/100 kwa kuwa utanyanyaswa, utavunjika moyo ila usijali waswahili wanasema kwenye giza totoro mwanga wa matumaini utjitokeza,

napenda kukukaribisha kwenye chama cha majobless pro max kikiongozwa na Mh Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman na makamu wake Bolotoba katibu wa chama ni min -me

waziri wq mambo ya ndani ni Thecoder msajili wa chama ni dosho12 wakili ni Selikavu mratibu wa chama Edo kissy

Na bila kumsahau semaji la chama makutupora

Kama ukifanikiwa kupata demu hichi kipindi cha valentine sisi tutakuelekeza ni sehemu gani kuna maua mazuri ya kuchuma bure kwa ajili ya zawadi ya maua na ni zawadi gani inapaswa kutoa ili wote mridhiki pasipo kuumia moyo mmoja wenu

Kidumu chama cha majobless pro max
Nimevutiwa sana na sera ya chama chenu na sasa naitaka kadi ya uanachama

Nihame kwa job holder rasmi nihamie jobless
Intelligent businessman
 
Nimevutiwa sana na sera ya chama chenu na sasa naitaka kadi ya uanachama

Nihame kwa job holder rasmi nihamie jobless
Intelligent businessman
Kuanzia sasa wewe ni mwanafamilia wetu wa chama cha majobless pro max usiwe na shaka ukiwa na shida yoyote kuhusu haki zako wakili wetu Selikavu atakushughulikia yupo radhi akatwe miguu yote ila afike popote mwanachama akiwa na shida ya haki Mh Raisi wetu Intelligent businessman yupo tayari auze figo, moyo hata ini lake ( kwa kuwa hana hela 😁😁😁 ) ili mwanachama apate haki yake

Sasa nikuunganishe kwa katibu min -me pamoja na semaji la chama makutupora huyu alisema hata akishonwa mdomo kwa nyuzi za kushonea viatu ila sauti yake itasikika mashariki mpaka magharibu kwa ajili ya kusema haki za mwana jobless

Akaribie kwenye chama Tupo kwa ajili yake
 
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu mliwezaje kuwapata?

Mwisho kabisa kama kuna demu mnamfahamu kuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
mada tatu katika mada moja

1. Malalamiko juu ya charting zisizoendana na content ya mada husika

2. Mtu anawezaje kupata mwanamke humu JF

3. kama kuna mtu ana connection ya mchumba akushtue
 
Back
Top Bottom